Home LOCAL NAIBU WAZIRI UMMY NDELIANANGA AKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA...

NAIBU WAZIRI UMMY NDELIANANGA AKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA SHERIA NDOGO JIJINI DODOMA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akikabidhiwa taarifa ya Jedwali la Uchambuzi wa Sheria Ndogo zilizowasilishwa katika Mkutano wa Sita wa Bunge na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Kilumbe Ng’enda baada ya kikao kilichofanyika katika UKumbi wa Bunge Machi 18, 2022 Jijini Dodoma.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo kilichofanyika katika UKumbi wa Bunge Machi 18, 2022 Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Bunge na Siasa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Ally Mfikirwa akieleza jambo katika kilichofanyika katika Ukumbi wa Bunge Machi 18, 2022 Jijini Dodoma.

Katibu wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo Bwa. Mkuta Masoli akifafanua jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika UKumbi wa Bunge Machi 18, 2022 Jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo wakifuatilia kikao hicho kilichofanyika katika UKumbi wa Bunge Machi 18, 2022 Jijini Dodoma.
 
 

MWISHO

Previous articleSERIKALI YAWAITA WADAU KUTOA MAONI YAO RASIMU YA SERA MPYA YA UWEKEZAJI JIJINI DAR
Next articleWAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA QATAR, JORDAN
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here