Mtaalam elekezi, Prof. Kitila Mkumbo (Mb) akieleza jambo wakati wa kikao cha wadau cha kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika katika Ukumbi wa mkutano uliopo jengo la OSHA Jijini Dodoma, Machi 24, 2022.
Sehemu ya wadau wakifuatilia hoja zilizokuwa zikiwasilishwa katika kikao cha wadau cha kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika katika Ukumbi wa mkutano uliopo jengo la OSHA Jijini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bw. Eliakim Mtawa akizungumza katika kikao cha wadau walipokutana kwa lengo la kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika katika Ukumbi wa mkutano uliopo jengo la OSHA Jijini Dodoma.
Afisa Miradi kutoka Shirika la AFRIYAN Tanzania, Bi. Jennifer Kayombo akichangia jambo wakati wa kikao cha wadau cha kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika katika Ukumbi wa mkutano uliopo jengo la OSHA Jijini Dodoma, Machi 24, 2022.
Picha ya pamoja ya wadau mara baada ya mkutano wa kuboresha andiko la mfumo wa kitaifa wa uratibu, ufuatiliaji, tathmini na taarifa za utekelezaji wa Programu ya Stadi za Maisha kwa vijana kilichofanyika katika Ukumbi wa mkutano uliopo jengo la OSHA Jijini Dodoma, Machi 24, 2022. Aliyekaa katikati ni Mtaalam elekezi, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Eliakim Mtawa (kushoto) na Mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dkt. Mariam Ngaeje (kulia).
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)