Home SPORTS MCHEZO WA YANGA DHIDI YA KMC WASOGEZWA MBELE

MCHEZO WA YANGA DHIDI YA KMC WASOGEZWA MBELE

MECHI ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Yanga SC dhidi ya KMC iliyopangwa kufanyika Machi 16, mwaka huu umesogezwa mbele hadi Machi 19 hapo hapo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo Yanga watacheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Somalia kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here