Home LOCAL MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MWENGE MKOANI NJOMBE YA PAMBA MOTO

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MWENGE MKOANI NJOMBE YA PAMBA MOTO

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Patrobas Katambi akifanya ukaguzi wa Maandalizi ya Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe tarehe 31 Machi, 2022, (kulia kwake) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Patrobas Katambi pamoja na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Njombe wakifuatilia vijana wa halaiki wakiwa wanafanya mazoezi ya mandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe , tarehe 31 Machi, 2022,



Vijana wa halaiki wakiwa wanafanya mazoezi ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe tarehe 31 Machi, 2022, Mbio hizo zitazinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Philip Isdor Mpango tarehe 02 Aprili, 2022.

Vijana sita walioandaliwa kutoka Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar, watakaokabidhiwa jukumu la kuukimbiza Mwenge wa Uhuru katika Mikoa 31 na Halmashauri 195 za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa siku 195, wakiwa katika maandalizi ya Uzinduzi wa mbio hizo tarehe 02 Aprili, 2022.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana, (katikati) akifuatilia maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe, kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa Njombe, Waziri Kindamba na kushoto kwake ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Patrobas katambi, wengine ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Jamal Katundu pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Bi. Fatma Rajabu.

Mkurugenzi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Idara ya Maendeleo ya Vijana, Bw. Julius Tweneshe akitoa ufafanuzi juu ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe, tarehe 02 Aprili, 2022.

PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU

(KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU)

 

Previous articleRAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAWAZIRI
Next articleYASEMAVYO MAGAZETI ASUBUHI YA LEO IJUMAA APRILI 1-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here