Home SPORTS KOCHA WA AZAM MOALLIN ASEMA KIKOSI CHAKE KIPO KAMILI KUIVAA POLISI KESHO

KOCHA WA AZAM MOALLIN ASEMA KIKOSI CHAKE KIPO KAMILI KUIVAA POLISI KESHO

Na: Mwandishi wetu

KOCHA Mkuu wa kikosi cha Azam Fc  Abdihamid Moallin amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa mchezo wa kesho dhdi ya Polisi 

Amesema kuwa amefurahishwa na ufanisi wa wachezaji pia kwa maandalizi mazuri ambayo wamejiandaa.

“Sina shaka na kikosi pia nina amini wachezaji wangu  watatupa mechi nzuri kesho,Ninachoweza kusema kwa mashabiki waendelee kujitokeza kwa wingi katika mechi kwani kikosi kipo imara”amesema.

Kikosi cha Azam kwa sasa wapo katika nafasi ya 3 wakiwa na jumla ya alama 25 huku wamecheza michezo 16, Polisi Tanzania  wamepoteza michezo 3 na kupata sare 2 na kuwa na alama 19 ikishika nafasi ya 9 kwenye ligi inayoendelea sasa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here