Home LOCAL KAMISHNA JENERALI WA DCEA ASHIRIKI KIKAO CHA WAKUU VYOMBO VINAVYOHUSIKA MAPAMABANO YA...

KAMISHNA JENERALI WA DCEA ASHIRIKI KIKAO CHA WAKUU VYOMBO VINAVYOHUSIKA MAPAMABANO YA DAWA YA KULEVYA NCHINI AFRIKA KUSINI

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Gerald Kusaya, leo jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini ameshiriki kikao cha pamoja cha Wakuu wa Vyombo vinavyo husika na Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya katika nchi tatu za Tanzania, Mozambique na South Africa ‘Trilateral States’. Kikao hicho cha Siku mbili, kimeanza leo kujadili masuala mbalimbali yanayohusu mapambano dhidi ya dawa za kulevya baina ya nchi hizo tatu.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!