Home LOCAL RAIS SAMIA-TANZANIA NI NCHI YA AMANI NA INA MAZINGIRA BORA YA UWEKEZAJI

RAIS SAMIA-TANZANIA NI NCHI YA AMANI NA INA MAZINGIRA BORA YA UWEKEZAJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Ustahimilivu na Uhusiano ambaye pia ni Kamishna wa Maonesho ya Dubai Expo 2020 Sheikh Nahayan Mabarak Al Nahayan wakati akielekea katika Banda la Maonesho la Tanzania lililopo Dubai leo tarehe 26 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi, pamoja na wananchi kutoka Mataifa mbalimbali Duniani katika Siku ya Kitaifa ya Tanzania katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 yanayofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 26 Februari, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Ustahimilivu na Uhusiano ambaye pia ni Kamishna wa Maonesho ya Dubai Expo 2020 Sheikh Nahayan Mabarak Al Nahayan mara baada ya kutembelea Banda la Tanzania pamoja na la Umoja wa Falme za Kiarabu UAE katika maonesho hayo ya Dubai Expo 2020 leo tarehe 26 Februari, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE katika maonesho hayo ya Dubai Expo 2020 leo tarehe 26 Februari, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha kumbukumbu mara baada ya mazungumzo na Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na Mtawala wa Dubai Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum leo tarehe 26 Februari, 2022. PICHA NA IKULU
Previous articleWANANCHI WATAKIWA KUPATA HUDUMA BORA ZA MAWASILIANO YA SIMU MUDA WOTE.
Next articleWAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA KAMATI MAALUM YA KUCHUNGUZA MAUAJI MTWARA, LINDI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here