Home LOCAL DKT. TULIA AHUDHURIA KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI KUU

DKT. TULIA AHUDHURIA KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI KUU

 
Mjumbe mpya wa Kamati Kuu ya CCM, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zubeir Ali Maulid muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao maalum cha Kamati Kuu ya CCM katika ukumbi wa White House, CCM Makao Makuu jijini Dodoma.
 
Previous articleWATALII WAZIDI KUMIMIKA HIFADHI YA NYERERE,WAVUTIWA NA WINGI WA WANYAMA PORI
Next articleWAZIRI NDALICHAKO AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SHIVYAWATA MKOA WA SINGIDA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here