Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mhe. Dkt. Ashanti K. Kijaji (Mb), Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara tar. 31 Januari, 2022 amekutana na Wazalishaji wa Saruji kwa lengo la kudhibiti upandaji holela wa bei ya saruji nchini