Home BUSINESS BALOZI LIBERATA MULAMULA AKUTANA NA WAJUMBE WA TIMU YA USIMAMIZI WA BENKI...

BALOZI LIBERATA MULAMULA AKUTANA NA WAJUMBE WA TIMU YA USIMAMIZI WA BENKI YA STANDARD CHARTERED

Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania, Balozi Liberata Mulamula (wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Timu ya Usimamizi wa Benki ya Standard Chartered mara baada ya kumaliza kikao kazi. Kutoka kulia ni Afisa Mkuu wa Fedha, Rayson Foya, Mhe. Liberata Mulamula, Afisa Mtendaji Mkuu, Sanjay Rughani. Kutoka kushoto, Mkuu wa Kitengo cha Biashara, Biashara na Masoko, Desideria Mwegelo, Mkuu wa Kitengo cha Wateja, Biashara na Kitaasisi, Jerry Agyeman-Boateng.
Previous articleWAJUMBE 308 BODI ZA VYUO VYA UALIMU 35 NCHINI WAPIGWA MSASA ADEM BAGAMOYO
Next articleRAIS SAMIA SULUHU AMUAPISHA MHE. ANGELINE MABULA KUWA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here