Home SPORTS U20 WANAWAKE WAIZAMISHA ETHIOPIA 1-0

U20 WANAWAKE WAIZAMISHA ETHIOPIA 1-0

Na: mwandishi wetu 

Timu ya wanawake U20 imefanikiwa kupata ushindi  dhdi ya Ethiopia katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Tatu Kufuz Kombe la Dunia kwa Wasichana chini ya umri wa miaka 20 Costa Rica baadaye mwaka huu.

Huku bao  pekee lilifungwa na Christian Bahera dakika ya 64 aliipatia  Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Ethiopia.

Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar, Tanzanite mchezo ulikuwa wa ushindani kwa timu zote mbili.

Previous articleYASEMAVYO MAGAZETI J.TATU YA LEO JANUARI 24-2022
Next articleSERIKALI HAITAVUMILIA WAFANYABIASHARA WANOPANDISHA BEI ZA BIDHAA KIHOLELA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here