Home LOCAL TMA YATANGAZA MVUA KUBWA KUNYESHA KATIKA MIKOA 15

TMA YATANGAZA MVUA KUBWA KUNYESHA KATIKA MIKOA 15

TMA imeitaja mikoa ambayo itakumbwa na mvua hizo ni pamoja na Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Arusha na Manyara.

Aidha mvua hiyo pia itanyesha kesho Januari 18, katika mikoa 15 ya Mwanza, Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Dodoma, Arusha, Lindi, Mtwara, Mara na Singida. Huku Jumatano ya Januari 19 mvua hiyo ikitarajiwa kunyesha kwenye mikoa 12.

Credit – Malunde Blog

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here