Home SPORTS SIMBA SC YAITIA ADAMU DAR CITY, YAIPIGA GOLI 6-0 BILA HURUMA

SIMBA SC YAITIA ADAMU DAR CITY, YAIPIGA GOLI 6-0 BILA HURUMA


Na: Mwandishi wetu, DAR.
Timu ya wekundu wa msimbazi Simba SC imefanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora ya  Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC), kwa kuitia hadabu bila huruma timu ya Dar City kwa kuichapa jumla ya bao 6 – 0 katika  Dimba la Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Simba yamefungwa na Meddie Kagere , Clatous Chama, Rally Bwalya, Pascal Wawa na Chris Mugalu ambaye alimalizia kazi.

Aidha Katika mchezo huo timu ya Simba ilionyesha Kandanda safi na kumiliki Mpira Katika vipindi vyote viwili ambapo mpaka mwamuzi wa mchezo huo anapuliza kipyenga cha mwisho Simba walikuwa wakimilki Mpira kwa asilimia 79.

Previous articleNAIBU WAZIRI MALIASILI AHIMIZA UHIFADHI WA MISITU
Next articleNAIBU WAZIRI MARY MASANJA AZINDUA MTANDAO WA WANAWAKE LAKI MOJA JIJINI DAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here