MSHAMBULIAJI Msudan, akiwa mazoezini na klabu ya Simba ambako amerejea kwa majaribio ambayo kama atamvutia kocha Mspaniola, Pablo Franco Martin atasajiliwa tena.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgKkwZD-KGCPWc1Ii1JdlUdlJCKGckL6B2WkExDve9yhdHh44Was7nwzxJCzWR9TjAnO3uITr8Uat3CMdTm9ZFhFwISqhlwMq0UnCbD8iXb2bRXNGFznPYLCpgsx3fkZGxDMcVX7WrtxGAX-Lv47W2doaLIMAIaE5tcldzSGQfGfMZ1V5o0J4kQt7lk=s16000)
Pamoja na Shiboub, kuna mchezaji mwingine kutoka Ivory Coast, Cheick Ahmed Tenena Moukoro naye pia anafanya majaribio. Simba inajiandaa na mechi yake ya kwanza ya Kundi C Kombe la Mapinduzi dhidi ya Selem View Jumatano