Home SPORTS SALUM MAYANGA KOCHA MPYA MTIBWA SUGAR

SALUM MAYANGA KOCHA MPYA MTIBWA SUGAR

KOCHA  Salum Mayanga  atakuwa kwenye benchi la ufundi la Mtibwa Sugar baada ya kutambulishwa leo.

Hapo awali Mayanga alikuwa akiinoa timu ya Tanzania Prisons ambapo alikuwa kwenye mwendo mzuri jambo lililowafanya Mtibwa Sugar kuhitaji huduma yake.

Pia amechukua  mikoba ya Joseph Omong ambaye alichimbishwa Desemba 14,2021.

Kwenye msimamo Mtibwa Sugar ipo nafasi ya 13 ikiwa na pointi 10 baada ya kucheza mechi 11

Previous articleWAZIRI MAKAMBA ATOA WITO INDIA KUWEKEZA SEKTA YA NISHATI
Next articleSIMBA KUSHUKA DIMBANI TENA DHIDI YA MLANDEGE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here