Home LOCAL RAIS SAMIA AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA TANZANIA MUFTI ABUBAKAR BIN ZUBEIR

RAIS SAMIA AMJULIA HALI SHEIKH MKUU WA TANZANIA MUFTI ABUBAKAR BIN ZUBEIR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimjulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Januari 2022.
PICHA NA IKULU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here