Home BUSINESS WANANCHI WAIPONGEZA BRELA KWA KUTOA ELIMU NA HUDUMA ZA PAPO KWA HAPO...

WANANCHI WAIPONGEZA BRELA KWA KUTOA ELIMU NA HUDUMA ZA PAPO KWA HAPO ZANZIBAR


Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria Zanzibar wakipata elimu ya namna BRELA inavyotekeleza majukumu yake walipotembelea banda la BRELA kwenye Maonesho ya Sita ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yanayofanyika Zanzibar katika Uwanja wa Maisala.
 

Bw.Davide Firno mwekezaji nchini Tanzania akipata elimu na usaidizi wa sajili kutoka BRELA kwenye Maonesho ya Sita ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yanayofanyika Zanzibar katika Uwanja wa Maisara. 
 

Bw. Issa Ally Njoka mzalishaji wa bidhaa ya Lishe akipata elimu ya Alama ya Biashara juu ya bidhaa anayozalisha kutoka kwa Bw Raphael Mtalima Afisa Mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Haki Miliki. BRELA inashiriki Maonesho ya Sita ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania  yanayofanyika Zanzibar katika Uwanja wa Maisara.

Bw Gaston Canuty akipata usaidizi wa karibu wa namna ya kufanya mabadiliko ya taarifa ya kampuni kutoka kwa Paul Peter Afisa kutoka Brela.  BRELA inashiriki Maonesho ya Sita ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania  yanayofanyika Zanzibar katika Uwanja wa Maisara.

Bw. Baraka Mwakyalika akikabidhiwa Cheti cha Usajili kutoka Afisa wa BRELA kwenye Maonesho ya Sita ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania  yanayofanyika Zanzibar katika Uwanja wa Maisara.
Bw. Mohammed Ali Mfanyabiashara kutoka Zanzibar akipata elimu kuhusu sajili mbalimbali zinazotolewa na BRELA. ( wa kwanza kulia) ni Raphael Mtalima Afisa mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Haki Miliki. (katikati) Afisa kutoka Kurugenzi ya Leseni, na (wa tatu kulia) ni Theresia Chilambo Afisa Habari Mkuu wa BRELA.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here