Home BUSINESS STAMICO YANG’ARA ZANZIBAR YATUNUKIWA CHETI CHA UBORA WA MPANGILIO WA BIDHAA

STAMICO YANG’ARA ZANZIBAR YATUNUKIWA CHETI CHA UBORA WA MPANGILIO WA BIDHAA

.
ZANZIBAR.

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limetunikiwa cheti na cha ubora wa muonekano wa Banda pamoja na mipangilio ya bidhaa zilizooneshwa (high standard of Display) wakati wa Maonesho ya bidhaa za viwandani yaliyomalizika tarehe 9 Disemba 2021.

Cheti hicho kimetolewa na Tantrade wakati wa kufunga maonesho yaliyofanyika katika kisiwa cha Zanzibar. 

Historia imejirudia tena kwani  STAMICO ndio  walikuwa washidi wa Jumla katika Maonesho ya Sabasaba 2021,(Overall Winner) na mshidi wa vikombe vitatu tofauti wakati wa Maonesho ya Madini yaliyofanyika Mkoani Geita

Ni jambo la kujivunia kwa Shirika la Madini la Taifa kwa mafanikio haya makubwa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here