Home SPORTS RATIBA KAMILI LIGI KUU YA WANAKE

RATIBA KAMILI LIGI KUU YA WANAKE

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

NA: Stella Kessy, DAR ES SALAAM

‪LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania (Serengeti Lite Women’s Premier League Super 8) inatarajia kutimua vumbi Desemba 23 mwaka huu.

Huku simba na Yanga zinatarajia kuchuana  January 8 Mwakani