Home LOCAL RAIS SAMIA AMUAPISHA PROF.ADELARDUS LUBANGO KILANGI KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI BRAZIL

RAIS SAMIA AMUAPISHA PROF.ADELARDUS LUBANGO KILANGI KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI BRAZIL


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Barazil leo tarehe 06 Disemba 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akiwa katika picha ya pamoja na Prof. Adelardus Lubango Kilangi mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Barazil leo tarehe 06 Disemba 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.

PICHA NA IKULU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here