Home LOCAL RAIS ALHAJ DKT.HUSSEIN MWINYI AONGOZA WANANCHI KATIKA SALA YA JENEZA KUMSALIA MAREHEMU...

RAIS ALHAJ DKT.HUSSEIN MWINYI AONGOZA WANANCHI KATIKA SALA YA JENEZA KUMSALIA MAREHEMU MWANAJUMA MRISHO MASJID MABLUU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume baada ya kumalizika kwa Sala ya Jeneza kumsalia marehemu Mwanajuma Mrisho, iliofanyika katika Masjid Mabluu Mfereji wa Wima na (kushoto kwa Rais) Mtoto wa marehemu Khamis Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Katibu wa Mufti Sheikh.Khalid Ali Mfaume.(Picha na Ikulu) .


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa Ndugu na Familia ya Marehemu Mwanajuma Mrisho, alipofika nyumbani kwa marehemu Kijangwani Wilaya ya Mjini kutowa mkono wa pole kwa kufiwa na mzazi wao.(Picha na Ikulu) .
 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua baada ya kutowa mkono wa pole kwa Ndugu na Familia ya Marehemu Mwanajuma Mrisho, alipofika nyumbani kwa marehemu Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wanafamilia leo 2-12-2021.(Picha na Ikulu).

Previous articleWAZIRI MKUU AIPONGEZA TARURA KWA USIMAMIZI WA UJENZI WA BARABARA ZA MJI WA SERIKALI MTUMBA
Next articleUTENDAJI WA MADAWATI YA KIJINSIA WAENDELEA KUIMARIKA – DKT. GWAJIMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here