Home BUSINESS NISHATI, WAKILI STEPHEN BYABATO KUTEMBELEA MIUNDOMBINU YA KUPOKELEA MAFUTA JIJINI DAR ES...

NISHATI, WAKILI STEPHEN BYABATO KUTEMBELEA MIUNDOMBINU YA KUPOKELEA MAFUTA JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato (mwenye suti ya Bluu) akikagua miundombinu ya kupokelea mafuta Kurasini na Kigamboni, Jijini Dar es salaam kwa Lengo na kuona utendaji kazi katika eneo hilo, Desemba 17, 2021.

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ( mwenye suti ya Bluu) mifumo ya Kompyuta inavyofanya kazi katika eneo la kupokelea mafuta Kurasini na Kigamboni Jijini, Dar es salaam, wakati wa ziara yake ya kuona utendaji kazi katika eneo hilo, Desemba 17,2021.

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato (mwenye suti ya Bluu) akipata maelezo katika meli iliyokuwa inapakua katika eneo la Kurasini( KOJ), Jijini Dar es salaam, wakati wa ziara yake ya kuona utendaji kazi katika eneo hilo, Desemba 17,2021.
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amefanya ziara ya kukagua miundombinu ya kupokelea mafuta iliyoko Kigamboni na Kurasini (KOJ) Jijini Dar es Salaam. Lengo likiwa ni kuona utendaji kazi katika eneo hilo.
Wakili Byabato amefanya ziara hiyo Desemba 17, 2021 akiambatana na Uongozi wa Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja( PBPA) na Maafisa kutoka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).
Previous articleRC KAFULILA AAFIZA WAZAWA WA MALAMPAKA WAPEWE KIPAUMBELE MRADI WA SGR
Next articleMAGAZETI YA LEO J.PILI DISEMBA 19-2021
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here