Home LOCAL MHE. RAIS SAMIA AFUNGUA BARABARA YA MOROCO MWENGE, AWATEMBELEA MAMA MARIA NYERERE...

MHE. RAIS SAMIA AFUNGUA BARABARA YA MOROCO MWENGE, AWATEMBELEA MAMA MARIA NYERERE NA MAMA ANNA MKAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa kufungua rasmi Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo (Moroco – Mwenge) Jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 leo tarehe 05 Desemba, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo (Moroco – Mwenge) Jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 leo tarehe 05 Desemba, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa kufungua rasmi Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo (Moroco – Mwenge) Jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 leo tarehe 05 Desemba, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kufungua rasmi Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo (Moroco – Mwenge) Jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 leo tarehe 05 Desemba, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Kitukuu cha Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere wakati alipomtembelea Mama Maria Nyerere kumjulia hali nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Desemba, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Desemba, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mama Anna Mkapa wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Desemba, 2021.


Wasanii wa Kikundi cha Burudani cha JKT Ruvu wakitoa Burudani wakati wa Ufunguzi wa Awamu ya Pili ya upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo (Moroco – Mwenge) Jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilomita 4.3 leo tarehe 05 Desemba, 2021. PICHA NA IKULU.

Previous articleKMC YAICHAPA GEITA 2-0
Next articlePROF. KITILA MKUMBO: WAJASIRIAMALI WANAWAKE TEGEMEO KUBWA KATIKA FAMILIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here