Home SPORTS KMC YAICHAPA GEITA 2-0

KMC YAICHAPA GEITA 2-0


Na: Stella Kessy

KIKOSI cha KMC leo imeibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo uliopigwa dimba la Chamanzi.

Katika mtange uliokuwa na ushindani huku KMC ilikuwa bora kwa mashambulizi na kilinda lango lao.

Katika dakika ya 32 bao lilofungwa Abdulrazack Hamza bao ambalo limedumu mpaka dakika 45 za mapumziko.

Katika dakika ya 82 mchezaji Matheo Antony aliongeza bao la pili ambao lilidumu dakika zote 90.

Kwa mataokea haya ya leo KMC nao wakisogea kwa nafasi tano kutoka nafasi ya 14.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here