Home BUSINESS HABARI PICHA: WAZIRI KOMBO AKITOA TAARIFA YA MAFANIKIO NA UTENDAJI WA WIZARA...

HABARI PICHA: WAZIRI KOMBO AKITOA TAARIFA YA MAFANIKIO NA UTENDAJI WA WIZARA YA UCHUMI WA BLUU UVUVI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri wa Uchumi wa Buluu na uvivu Mh.Abdalla Hussein Kombo Akitoa taarifa ya mafanikio na utendaji wa Wizara yake, kuelekea maadhimiso ya miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar huko Ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni Mjini Zanzibar.
PICHA NA FAUZIA MUSSA -MAELEZO ZANZIBAR.