Home SPORTS GEITA GOLD, PRISONS, RUVU SHOOTING NA AZAM KUSHUKA DIMBANI KUTAFUTA POINT 3

GEITA GOLD, PRISONS, RUVU SHOOTING NA AZAM KUSHUKA DIMBANI KUTAFUTA POINT 3



 

NA: Stella Kessy

LEO Majira ya saa 10 Ligi Kuu Bara inaendela huku Geita Gold inakutana na Tanzania Prison katika Uwanja wa Nyankumbu.

Azam FC leo  itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Ruvu Shooting  wazee wa mpapaso, Uwanja wa Azam Complex.

Kikosi cha Azam kinashuka dimba kikiwa na kumbukumbu ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Mbeya City pale Azam Complex.

Huku upande mwingine ruvu wao walifungwa na geita 2-1.

Kikosi cha  Geita Gold inayonolewa na Kocha Mkuu, Felix Minziro itakutana na Tanzania Prisons, Uwanja wa Nyankumbu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here