Home SPORTS COASTAL UNION YANYAKUA POINT 3 DHIDI YA BIASHARA UNTD

COASTAL UNION YANYAKUA POINT 3 DHIDI YA BIASHARA UNTD



 NA: STELLA KESSY

TIMU ya Coastal Union  leo imejinyakulia pointi 3 dhidi ya Biashara United bao  1-0  katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo

Katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Karume mjini Musoma mkoani Mara.

Bao pekee la Wagosi wa Kaya  limefungwa na Hija Ugando dakika ya 36 na kwa ushindi huo, Coastal inafikisha pointi 14 na kupanda hadi nafasi ya tano, wakati Biashara inabaki na pointi zake nane katika nafasi ya 12.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here