Home SPORTS BWALYA: NAIPENDA NCHI YANGU LAKINI SIMBA KWANZA

BWALYA: NAIPENDA NCHI YANGU LAKINI SIMBA KWANZA

Mwandishi wetu

KIUNGO Mshambuliaji Rally Bwalya amesema kuwa hatakikisha anaisaidia timu yake ya kufanya vizuri  dhidi ya Red Arrows  kesho ili kuingia katika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika licha ya kucheza katika Ardhi ya nyumbani kwao Zambia .

Bwalya amesema kuwa simba ni waajiri wake na siku zote ataipa nafasi ya kwanza katika kila kitu kama maktaba unavyoeleza.

“Najisikia furaha kucheza katika ardhi ya nyumbani, lakini pia nina ipenda nchi yangu lakini nimekuja kikazi nitahakikiksha  naisaidia Simba kupata ushindi ili tuingia katika makundi” amesema.

Akizungumzia mchezo wa kesho bwalya amesema itakuwa mchezo utakuwa mgumu lakini wapo tayari kupata matokeo mazuri.

“Kama alivyosema kocha kuwa mchezo utakuwa mgumu tunajua Red Arrows wataingia kwa nguvu kutafuta matokeo lakini na sisi ni simba tutakuwa tayari kuwakabili” amesema.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here