Home SPORTS YANGA YADONDOKEA PUA KESI YA MORRISON

YANGA YADONDOKEA PUA KESI YA MORRISON

 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Na: mwandishi wetu.

MAHAKAMA ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) imetupilia mbali kesi ya klabu ya Yanga dhidi ya winga Mghana, Bernard Morrison hadi.

Taarifa ya CAS imesema kwamba mkataba wa awali wa Yanga na Morrison ulimalizika Julai 14, mwaka 2020 na wa pili ambao Mghana huyo anaukana alisharejesha fedha za klabu hiyo dola za Kimarekani 30,000 hivyo hakuna kesi baina yao.