Home BUSINESS WIZARA YA KILIMO YATANGAZA FURSA YA KUSAFIRISHA PARACHICHI INDIA

WIZARA YA KILIMO YATANGAZA FURSA YA KUSAFIRISHA PARACHICHI INDIA

Ujumbe kutoka India uliongozwa na Bw. Anupam Mishra Joint Secretary, Department of Consumer Affairs, na Bw. Sunil Kumar Singh, Additional Managing Director, National Agricultural Cooperative Marketing Federation of India Ltd.(NAFED), Ministry of Consumer Affairs, Food and Public Distribution. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano, Ofisi ndogo za wizara ya kilimo, kilimo4, Jijini Dodoma, leo tarehe 29 Novemba, 2021.

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo (wa katikati upande wa kulia)leo ameongoza timu ya wizara katika mazungumzo ya awali kuhusu rasimu ya makubaliano (MoU) kati ya Tanzania na India kuhusu fursa ya kuuza mazao ya jamii ya mikunde kama vile mbaazi kwenye soko la India.

   .

Previous articleTHBUB YAIPONGEZA SERIKALI KURUHUSU WANAFUNZI WALIOKATIZA MASOMO KUREJEA SHULENI
Next articleASKOFU NTUZA AWATAKA WAHITIMU WA KIPAIMARA KUZISHIKA NA KUZIISHI SHERIA ZA KRISTO.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here