Home SPORTS WACHEZAJI SIMBA WAPEWA MAPUMZIKO

WACHEZAJI SIMBA WAPEWA MAPUMZIKO

Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.

Wachezaji wa simba ambao hawajaitwa katika timu zao za taifa wamepewa mapumziko ya siku nne nakurejea  kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi zilizopo mbele yao. 

Hali hiyo imekuja baada ya ligi kusimama kupisha mechi za kufuzu fainali za kombe la Dunia.

Hata hivyo kikosi cha Simba jumla ya wachezaji 9 wamejiunga na timu ya Taifa ya Stars inayojiandaa na mechi mbili za kufuzu dhidi ya DR Congo na Madagasca hukU wale wa kigeni wanatarajiwa kuondoka leo.

Kwa sasa Simba wanajiandaa na mchezo wa ligi Kuu dhidi ta Ruvu Shooting utakaopigwa Novemba 19,uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here