Home LOCAL SPIKA JOB NDUGAI AZINDUA CHAMA CHA KIBUNGE CHA ELIMU BORA KWA WOTE...

SPIKA JOB NDUGAI AZINDUA CHAMA CHA KIBUNGE CHA ELIMU BORA KWA WOTE (POQEA)

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Mb), akipokelewa na Mwenyekiti wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote, Mhe. Margaret Sitta (katikati) na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote, Mhe. Maria Kisangi alipowasili kwa ajili ya kuzindua Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote uliofanyika leo katika hoteli ya Morena Jijini Dodoma, Novemba 5, 2021.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Mb), akizindua Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote na semina kwa wanachama wa Chama hicho uliofanyika leo katika hoteli ya Morena Jijini Dodoma, Novemba 5, 2021.

Mwenyekiti wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote, Mhe. Margaret Sitta akifungua semina ya Chama hicho kilichozinduliwa leo na Spika wa Bunge, Job Ndugai (Mb), katika hoteli ya Morena Jijini Dodoma, Novemba 5, 2021.

Katibu wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote, Mhe. Jumanne Sagini akizungumza wakati wa uzinduzi na semina kwa Wanachama wa Chama hicho iliyofanyika leo katika hoteli ya Morena Jijini Dodoma, Novemba 5, 2021.

Wajumbe wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote wakifuatilia kwa makini uzinduzi na semina ya Chama hicho uliofanyika leo katika hoteli ya Morena Jijini Dodoma, Novemba 5, 2021

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Stanslaus Nyongo akifunga semina ya Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote iliyozinduliwa leo na Spika wa Bunge, Job Ndugai (Mb), katika hoteli ya Morena Jijini Dodoma, Novemba 5, 2021

Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote baada ya uzinduzi wa Chama hicho uliofanyika leo katika hoteli ya Morena Jijini Dodoma, Novemba 5, 2021, Kuanzia kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omary Kipanga, Mwenyekiti wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote, Mhe. Margaret Sitta, Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Stanslaus Nyongo na Katibu wa Chama hicho, Mhe. Jumanne Sagini.

Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na Wawasilishaji mada kutoka Wizara ya Elimu, HakiElimu na CAMFED Tanzania baada ya uzinduzi wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote uliofanyika leo katika hoteli ya Morena Jijini Dodoma, Novemba 5, 2021, Kuanzia kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omary Kipanga, Mwenyekiti wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote, Mhe. Margaret Sitta, Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Stanslaus Nyongo na Katibu wa Chama hicho, Mhe. Jumanne Sigini

                                                             (PICHA NA OFISI YA BUNGE).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here