Home SPORTS SIMBA WATAJA KIINGILIO CHA RED ARROWS

SIMBA WATAJA KIINGILIO CHA RED ARROWS


Na: Stella Kessy, DAR 

UONGOZI wa klabu ya Simba umeweka hadharani viingilio vya mchezo  wa kwanza wa  kombe la shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows Utakaopigwa jumapili katika dimba la Uwanja wa Benjamini Mkapa.
Huku kiingilio cha chini kimewekwa shilingi 5000 ili kiwafanya mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani kuisapoti timu kupata matokeo.
Tiketi zimeanza kuuzwa leo kwenye vituo mbali mbali ambapo kupitia mitandao ya simu zilianza kuuzwa tangu jumanne.
Hata hivyo mzunguko ni shilingi 5000,huku VIP B na C ni shilingi 20,000 VIP ni shilingi 40,000.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here