Home LOCAL SERIKALI YAZINDUA NEMBO MAALUM YA MIAKA 60 YA UHURU JIJINI DODOMA

SERIKALI YAZINDUA NEMBO MAALUM YA MIAKA 60 YA UHURU JIJINI DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama,akizindua rasmi nembo na kaulimbiu ya maadhimisho ya sherehe ya miaka 60 ya Uhuru uzinduzi huo umefanyika leo November 1,2021 jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama,akizungumza wakati wa uzinduzi wa  nembo na kaulimbiu ya maadhimisho ya sherehe ya miaka 60 ya Uhuru uzinduzi huo umefanyika leo November 1,2021 jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Dkt. Khalid Mohammed Salum,akizungumza wakati wa uzinduzi wa  nembo na kaulimbiu ya maadhimisho ya sherehe ya miaka 60 ya Uhuru leo November 1,2021 jijini Dodoma.

Baadhi ya viongozi na waandishi wa habari wakifatilia hotuba mbalimbali  wakati wa uzinduzi wa  nembo na kaulimbiu ya maadhimisho ya sherehe ya miaka 60 ya Uhuru uzinduzi huo umefanyika leo November 1,2021 jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama,akiwa katika picha ya pamoja mara baada kuzindua nembo na kaulimbiu ya maadhimisho ya sherehe ya miaka 60 ya Uhuru uzinduzi huo umefanyika leo November 1,2021 jijini Dodoma.


Previous articleDKT. GWAJIMA ATOA WITO WATAALAMU KUTOA ELIMU YA USONJI KWA JAMII.
Next articleHIKI NDICHO KIKOSI CHA STARS DHIDI YA CONGO, MADAGASCAR.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here