Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAWEKEZAJI JIJINI DARBAN

RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAWEKEZAJI JIJINI DARBAN

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Nchini Misri ukiongozwa na Kiongozi Mkuu ya Kampuni ya Elsewedy.Mhandisi Ahmed  El Sewedy na (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar.Mhe Omar Said Shaban,mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya “The Oyster Box” Jijini Darban Afrika Kusini, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Maonesho ya Wafanyabiashara wa Nchi za Afrika

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Kiongozi Mkuu wa Kampuni ya El Sewedy kutoka Nchini Misri.Mhandisi.Ahmed El-Sewedy na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar.Mhe.Omar Said Shaban na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Tanzania Mhe. Exaud Kigahe, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Hotel ya “The 0yster Box “ Darban Nchini Afrika Kusini, baada ya ufunguzi wa Maonesho ya Biashara kwa Wafanyabiashara wa Nchi za Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa ICC Jijini Darban Nchini Afrika Kusini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Benki ya Afrexim ukiongozwa na Kiongozi Mkuu wa Benki hiyo Bw.Amr Kamel na (kulia kwa Rais) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar.Mhe.Omar Said Shaban,mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa jengo la mikutano la ICC Jijini Darban,baada ya kumalizika kwa mkutano wa ufunguzi wa mkutano wa Maonesho ya Wafanyabiashara wa Nchi za Afrika,uliofanyika katika ukumbi wa ICC Jijini Darban Afrika Kusini.(Picha na Ikulu)

Previous articleWAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA
Next articleMAJALIWA: WATU WENYE ULEMAVU WAPEWE FURSA VIWANDANI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here