Home LOCAL RAIS SAMIA AMUAPISHA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO NA KUONGOZA KIKAO MAALUM...

RAIS SAMIA AMUAPISHA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO NA KUONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Pereira Ame Silima kuwa Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Visiwa vya Comoro leo tarehe 07 Novemba, 2021 Ikulu, Chwamwino Mkoani Dodoma.

   Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM iliyokutana leo tarehe 07 Novemba, 2021 Ikulu, Chwamwino Mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here