Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye Jubilei ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi huduma ya MRI katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba, 2021.
Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili  katika Viwanja vya Hospitali ya Bugando kwa ajili ya Jubilei ya  Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe  18 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa  katika picha ya pamoja na Viongozi na Maaskofu wa Hospitali ya Bugando  mara baada ya kuzindua rasmi Mnara wa Kumbukumbu ya Jubilei Maadhimisho  ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza leo tarehe 18 Novemba,  2021.
PICHA NA IKULU
 
  
            
