Home LOCAL NAIBU WAZIRI DKT MABULA ATOA POLE KWA BASHE NZEGA

NAIBU WAZIRI DKT MABULA ATOA POLE KWA BASHE NZEGA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Angeline Mabula akimpa pole Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe alipomtembelea Nzega mkoani Tabora kufuatia kufiwa na baba yake mzazi Sheikh Mohamed Bashe.
 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here