Home LOCAL NAIBU SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI MKUTANO WA 51 WA CHAMA CHA MABUNGE...

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI MKUTANO WA 51 WA CHAMA CHA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akiwasilisha mada kuhusu nafasi ya Bunge kuchochea uwekezaji katika sekta ya Afya Barani Afrika baada ya athari ya Covid 19 wakati wa Mkutano wa 51 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika unaoendelea leo Abuja nchini Nigeria.

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (wapili kulia mbele) akishiriki katika mazungumzo kuhusu nafasi ya Bunge kuchochea uwekezaji katika sekta ya Afya Barani Afrika baada ya athari ya Covid 19 wakati wa Mkutano wa 51 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika yanayoendelea leo Abuja nchini Nigeria.

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akifuatilia kwa makini mazungumzo kuhusu nafasi ya Bunge kuchochea uwekezaji katika sekta ya Afya Barani Afrika baada ya athari ya Covid 19 wakati wa Mkutano wa 51 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika yanayoendelea leo Abuja nchini Nigeria.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here