Home SPORTS MOROCCO YAIFUATA TANZANIA ROBO FAINALI CANAF

MOROCCO YAIFUATA TANZANIA ROBO FAINALI CANAF

DAR ES SALAAM.

TIMU  ya Morocco wamefuzu kuingia robo fainali baada ya kuifunga  Uganda 3-1.

Magoli ya Morocco yamefungwa na  Abderrazack Eliuardy dakika ya  11 kipindi cha kwanza  na  Mohcine Chrach aliyetumbukiza mabao mawili dakika  16 na 24.

 Goli pekee ka Uganda limefungwa dakika ya 38 na   Atuhaire Johnson

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here