Home LOCAL MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA AFRICAN LEADERS...

MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA AFRICAN LEADERS MALARIA ALLANCE (ALMA)

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Katibu Mtendaji wa African Leaders Malaria Alliance (ALMA) Bibi. Joy Phumaphi, mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 08 Novemba, 2021.