Home SPORTS KMC YAICHAPA AZAM 2-1

KMC YAICHAPA AZAM 2-1

NA: MWANDISHI WETU.

TIMU ya KMC leo kimeibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Azam  katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo Mabao ya KMC leo yamefungwa na Matheo Anthony Simon dakika ya 13 na Hassan Salum Kabunda dakika ya 90, huku la Azam FC likifungwa na Mzambia, Charles Zullu dakika ya 43.

Kwa matokeo hayo, KMC inafikisha pointi tano na kupanda kwa nafasi mbili kutoka mkiani katika ligi ya timu ya timu 16.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here