Home LOCAL HISTORIA MPYA YAANDIKWA NOVEMBA 12,2021 MJINI UNGUJA ZANZIBAR

HISTORIA MPYA YAANDIKWA NOVEMBA 12,2021 MJINI UNGUJA ZANZIBAR

ZANZIBAR

MAPEMA leo Chuo cha Maji na Mamlaka ya Maji Zanzibar wameingia katika historia kubwa ya kukubaliana na kusaini Mkataba wa Makubaliano ( Memorandum of Understanding) katika kuanzisha na kuendeleza mashirikiano katika masuala ya Mafunzo, Utafiti, Ushauri wa Kitaalam na Ubunifu.

Lengo ni kuhakikisha Mamlaka ya Maji Zanzibar inanufaika na uwepo wa Chuo cha Maji lakini pia Chuo kinafaidika na fursa zilizopo katika Mamlaka hiyo na kuhakikisha ile Zanzibar ya Blue inafikiwa kwa mafanikio ya haraka yatakayosaidia Taasisi hizi kufanya mabadiliko chanja kwa haraka zaidi.

Mkuu wa Chuo Dkt. Adam O. Karia na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Zanzibar Dkt. Salha Kassim wamesaini mkataba huo tayari kuanza kushirikiana mara moja.

Previous articleRAIS MWINYI AZINDUA KIWANDA CHA ZANZIBAR HANDMADE COSMETIC
Next articleWARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA WATOA SHUHUDA ZAO MBELE YA DCEA NA JOPO LA WAANDISHI WA HABARI, MOROGORO #KataaDawazaKulevya_TimizaMalengoyako
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here