Home SPORTS BIASHARA UTD YAONDOLEWA RASMI SHIRIKISHO

BIASHARA UTD YAONDOLEWA RASMI SHIRIKISHO

 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Na: Mwandishi wetu

SHIRIKISHO la Soka Afrika limeiengua timu ya Biashara United kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kushindwa kutokea uwanjani Jijini Benghazi nchini Libya Oktoba 23, mwaka huu.