Home SPORTS BEKI WA SIMBA AFUNGIWA MECHI TATU

BEKI WA SIMBA AFUNGIWA MECHI TATU






wandishi wetu.

BEKI Mkongo wa Simba SC, Henock Inonga Baka amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. Milioni 1 baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu kwenye mechi dhidi ya Coastal Union Oktoba 31 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kufuatia kumpiga kichwa mchezaji wa wapinzani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here