Home SPORTS YANGA YABEBA POINTI TATU NYINGINE KWA MKAPA

YANGA YABEBA POINTI TATU NYINGINE KWA MKAPA

Na:Stella Kessy.

MABINGWA wa kihistoria Yanga leo wameibuka kidedea  1-0 dhidi ya  a Geita Gold katika michuano ya ligi kuu Tanzania bara  uliochezwa katika dimba la Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Katika dakika ya 17   nyota wao mpya Jesus Moloko ambaye alipachika bao hilo.

Ushindi huo unaifanya Yanga kufikisha pointi 6 kibindoni na unakuwa ni wa pili mfululizo.

Walianza kushinda mbele ya Kagera Sugar ambapo mfungaji wa bao hilo ni  kiungo wao Feisal Salum.


Previous articleSERIKALI YAPIGILIA MSUMARI MAADILI UANDISHI WA HABARI
Next articleRAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA MLEZI WA SKAUTI TANZANIA IKULU CHAMWINO DODOMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here