Home SPORTS YANGA, AZAM KUKIPIGA KWA MKAPA.

YANGA, AZAM KUKIPIGA KWA MKAPA.

Na: Mwandishi wetu.

MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Yanga SC na Azam FC uliokuwa ufanyike Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha Oktoba 30 umerejeshwa Dar es Salaam.

Taarifa ya Yanga SC jana jioni  imesema kwamba mechi hiyo ya mzunguko wa kwanza wa ligi itachezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam siku hiyo hiyo Jumamosi ya Oktoba 30.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here