Home BUSINESS WAZIRI WA VIWANDA PROF. KITILA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KONGAMANO LA TATU...

WAZIRI WA VIWANDA PROF. KITILA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KONGAMANO LA TATU LA UCHUMI KATI YA UTURUKI NA AFRIKA JIJINI INSTANBUL.


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Kitila Mkumbo akiwa katika Kikao cha Mawaziri kati wakati wa Kongamano la tatu (3) la Uchumi na Biashara kati ya Uturuki na Afrika linalofanyika Istanbul Uturuki Oktoba 21 – 22, 2022.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Kitila Mkumbo akiwa pamoja na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Zanzibar Bw. Omar Shaaban pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. David Makiposa wakipata taarifa fupi kutoka kwa Kaimu Balozi wa Tanzania Uturuki Bw. Hassan Mwamweta kuhusu maandalizi ya ziara ya Wafanyabiashara wa Tanzania wanaohudhuria Kongamano la tatu (3) la uchumi na Biashara linalofanyika nchini Uturuki Oktoba 21 – 22 , 2021.

Previous articleAGGY BABY AACHIA KIBAO KINGINE CHA ‘WATAJUAJE’
Next articleKUTOKA MAGAZETINI IJUMAA YA LEO OCTOBA 22-2021
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here