Home SPORTS SIMBA, GALAXY KUKIPIGA OCTOBA 17.

SIMBA, GALAXY KUKIPIGA OCTOBA 17.

Mwandishi wetu.

Mchezo wa kwanza wa ligi ya Mabingwa  Afrika  dhidi ya Jwaneng Galaxy Botswana utapigwa oktoba 17 katika uwanja wa Botswana  saa 10 jioni kwa masaa ya Tanzania.

Hata hivyo awali mchezo huo ulipangwa kuchezwa kati ya Oktoba 14 na 15 nchini Botswana.

Kwakupitia mtandao wao simba wameripoti kuwa wamepokea taarifa kuwa mchezo huo utachezwa Octoba 17 .

Aidha mchezo wa marudiano utapigwa 0ctoba 24 katika dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here