Home LOCAL RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA MFUKO WA UMOJA WA MATAIFA...

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA KATIBU MTENDAJI WA MFUKO WA UMOJA WA MATAIFA WA MITAJI YA MAENDELEO

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa mitaji ya maendeleo (UNSDF) Bi. Preeti Sinha Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Oktoba, 2021.